Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #41
Mim sijajuaNimekutenga kwa Nini tena ?
Mim sijajuaNimekutenga kwa Nini tena ?
Si kweliMim sijajua
Sawa mzeeSi kweli
Bila ka chachandu mambo hayaendiwahindi kwa pilipili 😁
Mwendokasi wa njano uleee umix kdg na wa kijaniPipili mbuzi au mwendo kasi
+100 Aura 😎😎Hala MadridView attachment 3494225Yummy
Mie ata ugali na maji napiga tu! Nawazidi nyie wanaume wa dar😅Evelyn Salt , Seran team kataa ugali hapo sisi tuna kula samaki na mboga ugali tunakuachia wewe bwashee
Yaani mi ukinipa huu mlo mmoja unaweza kunioa kabisa😍😋Hell
Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni ujichuje maji ili ukipika mchicha usiwe na maji kabisa
Baada ya hapo kataka kitunguu chakoa na karoti kisha weka anza kuupika kwa kuweka kwanza mafuta baada ya kupata moto weka kitunguu kisha kiiva weka mchicha, baada ya hapo sasa weka karoti zako juu mchicha hautakiwi kukaa sana jikoni chumvi weka kidogo tu
Baada ya hapo nika weka mafuta ya samaki na kukaanga samaki nilimtia chumvi tu sikutaka awe na viungo vingi
Baada ya hapo nikasonga ugali karibu nashushia mtindi swafiiii
Hala madrid
View attachment 3494115
Tukishiba twende jukwaa la siasa sasa 😁😁
Ongea na mpishi aina hiyo ya samaki husaidia sana kupunguza dipresheni😅Samaki angekuwa wa mchuzi au makange😋😋😋😋
Nmpikie kwanini nawewe upoMpikie siku moja
Limeisha ilooMwendokasi wa njano uleee umix kdg na wa kijani
Acha basi 😆Yaani mi ukinipa huu mlo mmoja unaweza kunioa kabisa😍😋
Au sioNmpikie kwanini nawewe upo
Samaki gani?Ongea na mpishi aina hiyo ya samaki husaidia sana kupunguza dipresheni😅
Mhm kwamba ni ujanja?Mie ata ugali na maji napiga tu! Nawazidi nyie wanaume wa dar😅
Ndio babeMhm kwamba ni ujanja?