min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,323
- 127,368
Evelyn Salt , Seran team kataa ugali hapo sisi tuna kula samaki na mboga ugali tunakuachia wewe bwashee
Unachokipenda ndicho na andaaUtanipikia nini?
Wana sema ukila ugali usiku una ota una kimbizwa sio 😁Evelyn Salt , Seran team kataa ugali hapo sisi tuna kula samaki na mboga ugali tunakuachia wewe bwashee
Kwahiyo kaka kumbe unaandaa misosi mitamu huko halafu huku unaleta ugali kweli , 😂😂😂Unachokipenda ndicho na andaa
Nyau mwenyewe ukimpa ugali bila mboga hali 😂Evelyn Salt , Seran team kataa ugali hapo sisi tuna kula samaki na mboga ugali tunakuachia wewe bwashee
Ndizi sangara, juice ya nanasiUnachokipenda ndicho na andaa
Inategemeana na mgeni ukija wewe nitakupkia ugaliKwahiyo kaka kumbe unaandaa misosi mitamu huko halafu huku unaleta ugali kweli , 😂😂😂
Nyau ana linga kama ana jua kupika 😁😁Nyau mwenyewe ukimpa ugali bila mboga hali 😂
Umenitenga sasaiv poaSafiiiii kabisa safiii kabisa.
Na nyau alivyo na dharau ,atakuangalia kama kiazi fulani hiviNyau mwenyewe ukimpa ugali bila mboga hali 😂
Ndizi sangara, juice ya nanasi
Nikitulia kidogo uniwekee supu chapati lainiii.. wakati wa kuondoka niage na karanga za mayai.
Dah! Utamu kama woteIlo tu umepata kabisa nitakuongea na short cake kabisa uwapelekee watoto
MaandaliziHivi mtandao ni mimi tu ndio una sumbua au
Mwachiluwi huyu kijana ni shabiki wa chelsea na barcelona na zote zimepigwa wiki hii 😁dosho12 nisaidie kumuelezea kaka mwachi mdogo wake naishiwa PAWA Mimi 😭
Dah yaan now una ipata kwa nadraDah! Utamu kama wote
Maandalizi
Ndio maana kalala na viatuMwachiluwi huyu kijana ni shabiki wa chelsea na barcelona na zote zimepigwa wiki hii 😁
Nimekutenga kwa Nini tena ?Umenitenga sasaiv poa