Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Hell
Kwanza osha mchicha wako vizuri mimi nime tumia mchicha wa kungo’a kule kwetu tuna uita ivyo una kuwa na michanga mingi so uoshe vizuri kisha ukate au una weza usiukate kisha weka pembeni ujichuje maji ili ukipika mchicha usiwe na maji kabisa
Baada ya hapo kataka kitunguu chakoa na karoti kisha weka anza kuupika kwa kuweka kwanza mafuta baada ya kupata moto weka kitunguu kisha kiiva weka mchicha, baada ya hapo sasa weka karoti zako juu mchicha hautakiwi kukaa sana jikoni chumvi weka kidogo tu
Baada ya hapo nika weka mafuta ya samaki na kukaanga samaki nilimtia chumvi tu sikutaka awe na viungo vingi
Baada ya hapo nikasonga ugali karibu nashushia mtindi swafiiii
Hala madrid
Tukishiba twende jukwaa la siasa sasa 😁😁