Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Habari
Leo nilikuwa na hamu ya ugali na mlenda basi nikaanza kukata majani ya maboga na bamia kisha nikaweka maji kidogo na magadi pamoja na chumvi kisha nikaweka jikoni na kuchanganya majani ya maboga na bamia kama unavyoona
Ugali najua mnajua kuupika