Tupike ugali na mlenda

Tupike ugali na mlenda

Hahaha.........njoo umsaidie Bibi yako kunilea, si unajua sisi tuliozaliwa Mwaka 47 tumeruhusiwa kuongeza wake tukizeeka 🤗

I pray for you Mjukuu, hopefully you will have one, when the right time comes 🙏
😁😁😁Asante kwa maombi babu, na mimi ntaendelea kujiombea
 
Kuna sehemu zingine hawajui kama mlenda ni mboga, wengine hawali sababu ya usumbufu wa ile michuzi ya milenda.

But trust me, mlenda ni remedy nzuri ya kusawazisha tatizo la constipation na kuweka sawa flow ya chakula kwenye mmeng'enyo.
 
Jumapili iliyopita nilipika ugali na mlenda pembeni niliweka maharage ya Nazi nikinywa na maziwa mtindi 😋

Nina kawaida ya kumsaidia Bibi yenu kupika weekend ili kipaji changu cha kupika kisipotee bure 👊

Mlenda nilioandaa niliweka bamia nyingi huku majani ya maboga nikiweka machache, niliunga Karanga za kusagwa (peanut butter)

Kuna wakati nilitembelea Mpwapwa - Dodoma, nikakutana na mlenda wa kusagwa

It was the first time I had tasted it

So yummy 😋
Inapendeza babu
 
Kuna sehemu zingine hawajui kama mlenda ni mboga, wengine hawali sababu ya usumbufu wa ile michuzi ya milenda.

But trust me, mlenda ni remedy nzuri ya kusawazisha tatizo la constipation na kuweka sawa flow ya chakula kwenye mmeng'enyo.
Wanyakyusa hatuli kabisa
 
Sema ugali na mlenda pekee huwa hainogi. Mlenda na ugali unakuwa mtamu ukipata mboga nyingine pembeni yake kama nyama rosti au samaki rosti
 
Sema ugali na mlenda pekee huwa hainogi. Mlenda na ugali unakuwa mtamu ukipata mboga nyingine pembeni yake kama nyama rosti au samaki rosti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom