kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Hata huo siyo mbayaUnakuwa mtamu pia ila mimi napenda wa hivi
Hata huo siyo mbayaUnakuwa mtamu pia ila mimi napenda wa hivi
Ndio huweki mafutaHivi mlenda hauwekwagi mafuta ? Hii mboga nimejifunza kula ukubwani ,,,, ! Sijui kuipika wala siwez lkuimiss ! But nakulaga ! Naona samaki hapo kando👍
Pika leoUmenifanya nimiss mlenda
Sipend wa karangaKaranga za kusaga weka Mkuu!
Ugali unalika vzrKatika mboga ninazopenda Kuna hii na mkunungu!Hatari sana sheikh...
Ahaha vingine uweziHatimaye umeleta kitu ninachokiweza
Sawa tunakusubirNtawatumia hapa mtaiona
Kuongeza kiunguliaMimi nawekaga na nyanya kipande kuongeza ladha
Nimetoks kupiga huo na Maziwa na Bondo.Sipend wa karanga
Vyengine mpaka niunguze mara tatu tatu ila hili ni kibondeAhaha vingine uwezi
Hapo mwepesi sioNimetoks kupiga huo na Maziwa na Bondo.
😂😂 una unguza unakuwa wapiVyengine mpaka niunguze mara tatu tatu ila hili ni kibonde
Hivi vitu kama huvijui ni kitendo Cha kureply kwenye Uzi wa mtu huku ushapigwa mzinga😂😂 una unguza unakuwa wapi
Uko sahihi kabisa.Tembele zuri sana
Siyo kweli mkuu nyanya inaongeza tu ladhaKuongeza kiungulia
Eeeh! Mungu nipe mwanaume kama babu😁😁Jumapili iliyopita nilipika ugali na mlenda pembeni niliweka maharage ya Nazi nikinywa na maziwa mtindi 😋
Nina kawaida ya kumsaidia Bibi yenu kupika weekend ili kipaji changu cha kupika kisipotee bure 👊
Mlenda nilioandaa niliweka bamia nyingi huku majani ya maboga nikiweka machache, niliunga Karanga za kusagwa (peanut butter)
Kuna wakati nilitembelea Mpwapwa - Dodoma, nikakutana na mlenda wa kusagwa
It was the first time I had tasted it
So yummy 😋
Na kiungulia juu 😆😝😝😝Siyo kweli mkuu nyanya inaongeza tu ladha
Mimi mlenda bila nyanya kidogo sisikii ladha kwakweliNa kiungulia juu 😆😝😝😝
Hahaha.........njoo umsaidie Bibi yako kunilea, si unajua sisi tuliozaliwa Mwaka 47 tumeruhusiwa kuongeza wake tukizeeka 🤗Eeeh! Mungu nipe mwanaume kama babu😁😁