Tupike prawns(kamba)wa nazi

Tupike prawns(kamba)wa nazi

Aawww my Favorite sea food, yaani nilishamaliza hotel zote zenye kujua kuanzia kuwaoka, kukaanga, kuwaroast. Hao unawalia kwa chips, wali, ugali, ndizi mzuzu, n.k ahsante Aaliyyah kwa pishi hili leo.
Asante dada karibu yan leo nimepata wengine wadogo ni kukaanga jion na kaugali flan na kachumbari
 
Poor Brain
Ushawah kula hii?
Mi niliwahi kula ila wale wadogo wanaita uduvi..
Aiseee dagaa kamba sijala kitambo jamni..naomba fanya siku nialike tuu kwa kweli hata kama ulipo nauli elfu 2 mi takuja 🙌🙌🙌🙌🙌

Mama Mshangazi dot com nataka kesho jpili ukae nyumbani upike hii sio kila siku wewe kuwaza kushenyentana tu .. huchoki
 
Mwanangu, mimi kuzagamuana siwezi kuacha kuwaza ndiyo starehe yangu.

Ila kesho nitakaa kitako nikupikie hawa prawns, recipe nimeshaipata. Utakula vizuri, vipi kuna kingine unataka?
 
Hapo ndo nakupendea mama angu ..
Yaani pote pote sio bed sio jikoni kama cr7 tuu 🙌🙌🙌😂😂😂
 
kitu km hujui au hujawahi kula tulia tu sea foods ni kitu cha ajabu mbna hii kali 😃
Sea foods habari nyingine Sheikh+SATO+KAMBALE, na PRAWNS wa wa DAM/BWAWANI. Sema wengi ni washamba, washazoea kula ugali dagaa, wali maharage, ukiwawekea sea foods wanaona kitu cha ajabu sana. Ushamba ni mzigo
 
Kabisa hawajui vitu wanngeendaa. Kwenye hotel za maana wakasikie bei ya seafood sasa
 
Shangazi naomba unifundishe kupikaaa, maisha nimeyapata.
Nataka niwe nakulaa, masapta saptaaa. [emoji39][emoji39][emoji39]

Serious yaan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom