Umenifanya nimiss home sweet home, sangara linachemshwa tu na chumvi linakua tamuu.Njoo ule vitu vya uhakika
View attachment 3343686
Njoo ule vitu vya uhakika
View attachment 3343686
Siku nifanyie mpango ukiwa umetuliaYan nimekutana nao tena saahiv wabich
Ndio hao hao uku ata samaki kolekole siwapatiWakukaanga eeh maana hao ndio wanaweza kusafiri hawaharibiki
Mkia una supu gani huo,Mkia unasababisha mchuzi kuwa mzito. Supu ya samaki fresh ni chumvi na maji tu. Hoho karoti ziende kwenye samaki wenye shombo..... Vibua ksmbale ngizi 😁😁😁
Huyo ni mla viepe tu 🤣Poor Brain
Ushawah kula hii?
The same to me,hicho kitu siwezi hata kutia mdomoni achilia mbali kukitafuna!Hebu niagize sato mimi fresh mboga gani hizo zimekaa kama mafinyofinyo
View attachment 3343684
Sio kila kitu kinaliwa baharini acheni kula takataka.kitu km hujui au hujawahi kula tulia tu sea foods ni kitu cha ajabu mbna hii kali 😃
Izo spices zote ni pilipili, itakua sio mtumiaji wa pilipili wewe au umezoea green/red pepper na chiliUnajua sowez kutumia hivo viungo hebu nifundishe natamni sana kujua sama matumiz ya oregano black peper situmii