Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Unafaa ila make sure haukatiki katiki sanaTuko pamoja iv mchele wetu huu wakiswahili haufai kupika biliani kwan
Maana basmati kilo moja 10kUnafaa ila make sure haukatiki katiki sana
Inapendeza sanna karibuMi ni jibaba leo getoni niliamua kupika pilau hatua kwa hatua baada ya kuuliza swali humu namna ya kupika pilau, uzi upo. Nimefanikiwa kupika pilau safi na tamu, kumbe naweza kupika mpiko huo. Nashukuru wadau wote walionielekeza kupika mpiko huo. Picha zitakuja awamu nyingine ya mpiko
Ndio boss kama upo mwenyewe nusu inatoshaMaana basmati kilo moja 10k
ππ na friend 2 tuBasmat kg 1 unalisha mtaa au unakula mwenyewe??
Unavimbaga sana huo balaa ukiuloweka kwenye maji kama nusu saa kabda ya kupika unavimba mnaweza kula watu hata 6 na msiumalizeBasmat kg 1 unalisha mtaa au unakula mwenyewe??
Ni kweli ila najua wageni hawakosekani wa gaflaUnavimbaga sana huo balaa ukiuloweka kwenye maji kama nusu saa kabda ya kupika unavimba mnaweza kula watu hata 6 na msiumalize
Basmat kg 1 ni nyingi inavimba mnoooππ na friend 2 tu
Kabisa nusu kilo watu sita mnakula na unabakiUnavimbaga sana huo balaa ukiuloweka kwenye maji kama nusu saa kabda ya kupika unavimba mnaweza kula watu hata 6 na msiumalize
Tukisema hapa wanatuita mashoga tunao jipikia πWababa tujue kupika, suala la kupika si la wanawake pekee kwani kuna wanawake ambao hawajui kupika kabisa, wanapika madabudabu tu. Kupika ni sanaa, chakula kinatakiwa kivutie mlaji na kiwe na ladha nzuri
Kuna weza tokea wagen kwangu wengi wanapenda kupita pitaBasmat kg 1 ni nyingi inavimba mnooo
Namie ntakuja......Kuna weza tokea wagen kwangu wengi wanapenda kupita pita