Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,693
- 23,270
Thanks mpishi mwenzangu.
Nitaijaribu piaThanks mpishi mwenzangu.
Vipimo vyangu kwa cake ndogo tu ya kula home na wtt:
Margarine robo kilo, sukari robo kilo, mayai 6, unga wa ngano nusu kilo kasoro kdg tu. Arki km 1 teaspoon na banking powder kijiko kimoja cha chakula...
Naanza na kumix sugar with Margarine...sukari nasaga kabisa iwe kama unga...
Ikisha kuchanganyika vizuri from yellow colour ya Margarine to cream or white colour naweka mayai...then ikisha kuchanganyika fresh naweka unga wa ngano kdg kdg huku unamix. Then banking powder...arki or iliki ya unga...mpk paste inakuwa ya kiasi. Hapo unaweza kuongeza cocoa powder au maganda ya machungwa uloyagrate.
Unachoma for 40 to 45 minutes kwa 180°C
😂😂😂 huwa ni waongeaji sana halafu ni wajuaji kinoma yote kwa yote huwa mna uongo usio kuwa na sababu maalumu.Wafupi tumewakosea nini jamani? Hua tuko busy na mambo yetu hata mnapotokea 🙄
Umekutana na Muha hujakutana na mfupi😂😂😂 huwa ni waongeaji sana halafu ni wajuaji kinoma yote kwa yote huwa mna uongo usio kuwa na sababu maalumu.
Hapo kwenye margarine nowadays mimi natumia butter. Margarine kama blueband harufu yake sipatani nayo.Nitaijaribu pia
Uku mpaka kupata uende mjini tena shopeersHapo kwenye margarine nowadays mimi natumia butter. Margarine kama blueband harufu yake sipatani nayo.
Butter pia nzuri inasaidia kukata harufu ya mayai. Ila bei zake ndio zimechangamka haswa
View attachment 3418412
Sawa, na kingine konde boy anawaangusha sana kwenye uwanja wa kudance.Umekutana na Muha hujakutana na mfupi
🤩 Unionjeshe.Na mimi ntajaribu siku moja
Sawa kijana masikini🤩 Unionjeshe.
Utupe mrejeshoNa mimi ntajaribu siku moja
Ukipata jaribu na hio nzuri sanaUku mpaka kupata uende mjini tena shopeers
WataalamuThanks mpishi mwenzangu.
Vipimo vyangu kwa cake ndogo tu ya kula home na wtt:
Margarine robo kilo, sukari robo kilo, mayai 6, unga wa ngano nusu kilo kasoro kdg tu. Arki km 1 teaspoon na banking powder kijiko kimoja cha chakula...
Naanza na kumix sugar with Margarine...sukari nasaga kabisa iwe kama unga...
Ikisha kuchanganyika vizuri from yellow colour ya Margarine to cream or white colour naweka mayai...then ikisha kuchanganyika fresh naweka unga wa ngano kdg kdg huku unamix. Then banking powder...arki or iliki ya unga...mpk paste inakuwa ya kiasi. Hapo unaweza kuongeza cocoa powder au maganda ya machungwa uloyagrate.
Unachoma for 40 to 45 minutes kwa 180°C
Usjar nitakup feedbackUkipata jaribu na hio nzuri sana
Achana na hio snap. Nilichkua kideo matayarisho ya eid.Usjar nitakup feedback
Ina elekea ilikuwa tamu sanaAchana na hio snap. Nilichkua kideo matayarisho ya eid.
Umeona hio paste. Hapo uki bake kwa moto unaotakiwa inatoka very soft
View attachment 3418434
Sipikagi keki mbaya mie. Huo upishi wa snacks ndio wangu mkuu...Ina elekea ilikuwa tamu sana
Hizi sina vifaa vya kutengenezea shape ila nazipenda sanSipikagi keki mbaya mie. Huo upishi wa snacks ndio wangu mkuu...
Ningekuwa na nafasi ningekuwa nafanya biashara ya homemade snacks
View attachment 3418449
Ununue sasa....mdogo mdogo..Hizi sina vifaa vya kutengenezea shape ila nazipenda san
Naskia unatafuta mkeThanks sana mkuu