Tupigeni story yoyote

Tupigeni story yoyote

wabebez wa mwanza bhana..... ukimtongoza binti wa kisukuma yeye hajibu kitu, unaweza kuongea nusu saa nzima yeye kimyaaaa

unaomba namba anakupa... unajikuta umekula kimya kimya
Umepatia kabisaaaaa, mwanzoni lazima ushtuke kidogo utadhani anakuchora hahahaha, ila wapo vizuri aisee!
 
Miss you too Ngabu...

I love you Vale...

upload_2016-9-12_13-6-28.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom