Huhuhhhuhuhhu mkuu, kwani huko kwenu viloba bado vipo?Utapigaje hodi kwako?
Ni kama eti niombe ruhusa kujishika papuchi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikua na kujitambua utajua tu,itafika wakati Wa kuhoji nipige deki au nioshe vyombo. Swali hili liende Facebook kwa maslahi mapana ya jfWakubwa...
Naomba kuuliza, kama umeoa na una familia, aidha uko na mkeo tuu au una watoto..umetoka na baadae unarudi mlango uko wazi japo sio sana yaani haujafungwa kabisa..wkt mkeo yupo ndani(na pengne chumba ni kimoja(ukiingia umeingia).
Je unatakiwa upige hodi au kwa sababu ni kwako unaingia tuu..na vipi kuhusu uoga wa kujiepusha na labda mabaya utakayoyakuta labda pengne ungepiga hodi usingeyajua au kuyaona(japo ili nimeliweka tuu), wewe unaonaje..upige hodi au huwa unaingia tuu..??
Nawasilisha..
Sidhani km ili swali ni la kitoto km unavyodhani.ukiangalia wachangiaji hapo waliokutangulia kila mtu ana maoni yake..hapo ndipo utakapoletwa maana ya mjadala.na wkt mwingne haina maana mleta uzi ni muhusika wa moja kwa moja.kukishakuwa na maoni tofauti tuu kati ya watu,hiyo ni madaUkikua na kujitambua utajua tu,itafika wakati Wa kuhoji nipige deki au nioshe vyombo. Swali hili liende Facebook kwa maslahi mapana ya jf