tatizo wewe ulikua huipendi physics,but hakuna topic tamu kama modern physics,Hakuna topic nitakayoikumbuka katika physics,zaidi sana sitasahau madudu ya mechanics na zile nadharia za ubabaishaji za modern physics....
projectile motion kuna maswali huchomoki hata uwe genious vipi..
tatizo wewe ulikua huipendi physics,but hakuna topic tamu kama modern physics,
projectile motion kuna maswali huchomoki hata uwe genious vipi..
kijana kuna maswali ya projectile ni matata,mfano mzuri ni la necta2007,kalitafute ulione,tafuta na kitabu kinaitwa university physics..Sio kweli,if u real know physics projectile unasolve bila wasiwasi!
I won't forget Physics,my best ever subject...somo tamu sana lile!
huyo jamaa ni mtata,alinifundisha modern physics kwa kweli nilikua siwezi kukosa swali,ila usimsahau mtiga,huyo ndio mwisho wa reli.achana na kitu inaitwa magnetism iliyochanganywa na wave!!! Utameza sana formula zake nyepesi njoo kwenye pepa sasa!! Kuna jamaa alikuwa anaitwa MODDY ana tuition yake maeneo ya mchikichini Ilala,.. Huyu jamaa alikuwa mwisho bhana kwenye Physics.
huyo jamaa ni mtata,alinifundisha modern physics kwa kweli nilikua siwezi kukosa swali,ila usimsahau mtiga,huyo ndio mwisho wa reli.