Saa sita kasoro umekesha?Mbona mi naona kawaida tu? Hadi watu niliowahamasisha tukeshe kushuhudia tukio wananicheka!! Sijaona chochote zaidi ya mwezi kuonekana na rangi flani nyekundu kwa mbaaaaali!! Nothing more! Au nyie wengine mnaona nini?
kabla ya siku ya leo umewahi kuona mwezi mwekundu?Mbona mi naona kawaida tu? Hadi watu niliowahamasisha tukeshe kushuhudia tukio wananicheka!! Sijaona chochote zaidi ya mwezi kuonekana na rangi flani nyekundu kwa mbaaaaali!! Nothing more! Au nyie wengine mnaona nini?
Ni tukio la kawaida ila watu wanakuambia ni hatari ya kiama
.
Sasa sielewi kiama kinakujaje hapo[emoji3][emoji3][emoji3]
Spectacular view walahi View attachment 820739View attachment 820739