stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Mars is so bright hadi raha[emoji56][emoji56]
Ni tukio la kawaida ila watu wanakuambia ni hatari ya kiamaHuku kwetu ni fujo tu kwenye vipaza.
Toka tu utaonaNikitoka nje sasa hivi nitaona hayo maajabu?
Ni tukio la kawaida ila wachache wanahusisha na imaniKiiman vp
So nice
Shukran kwa darasaNi tukio la kawaida ila wachache wanahusisha na imani
Pamoja.Shukran kwa darasa
So so lovely[emoji4][emoji56][emoji56]View attachment 820676 nikiripoti kutoka hapa Durban. Mimi ni cephalocaudo wa jeiefuuuuuuuuuuuu
Share kapicha hapa mkuuNipo songea nashuhudia kupatwa kwa mwezi
Toka nje uangalieShare kapicha hapa mkuu
Yeah fanya utokeNikitoka nje sasa hivi nitaona hayo maajabu?
Nipo nje hapa ninaangalia na picha ninayo..Toka nje uangalie