Ukikutana naye mtaani, unakimbia kabla hata hajachomoa hiyo betri[emoji3] [emoji3]Umeona eeh
Keshafanya yake hapo........ NdukiiUkimuona tu kimbia View attachment 1184078
Polisi Tanzania wamechomoa betri.Kafa kifo cha mende.Fanya mchezo na betri kuchomolewa.
Huyo polisi hapo anafanya kazi gani?Yulee anawasubiri Bodaboda wajaeView attachment 1184104
Yanga nao walichomolewa betri jana
Kashakinukisha tayari
Huyu jamaa nilmuona kupitia youtube millard ayo anakula sana Panya mpk sura imekakamaa
😀Zahera anajipanga atakoti reply yako mpya