Kwahiyo ukipigiwa simu na namba mpya uje huku uangalie kama ni tapeli? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwa akili hizi Mwakyembe ni halali ajivunie degree zake 4. Yaani hilo ni suala la mtu mwenyewe kutumia akili, utaweka namba ngapi hapa?
Kwahiyo yeye kajivunia wakati hana akili?Kujivunia degree 4 ni upumbavu, unaweza ukawa na degree 4 ukawa na akili ndogo na usiwe na hekima na busara ukazidiwa na wa for 4 O level au A level kwa busara.
Sasa huo mfano kama si kweli haiwezi kumaanisha hicho usemacho. Mimi nilijua una uhakika kuwa hana akili ili nami nijue mapungufu yake.Sijamsema hana akili nimetoa mfano; usikuze mada
😆😂🤣Sasa huo mfano kama si kweli haiwezi kumaanisha hicho usemacho. Mimi nilijua una uhakika kuwa hana akili ili nami nijue mapungufu yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38][emoji23]🤣
Ni kweli hana akili mkuu .logic ya asemacho mtu hu reflect akili yake. Huyo mzee amewahi kuropoka watu wasioane bila cheti ya kuzaliwa. Thinking ya mtu asiye na akiliSasa huo mfano kama si kweli haiwezi kumaanisha hicho usemacho. Mimi nilijua una uhakika kuwa hana akili ili nami nijue mapungufu yake.
Tumsamehe, kila birthday yake akili zinashukaNi kweli hana akili mkuu .logic ya asemacho mtu hu reflect akili yake. Huyo mzee amewahi kuropoka watu wasioane bila cheti ya kuzaliwa. Thinking ya mtu asiye na akili
Kusema watu wasioe bila kuwa na vyetu vya sekondari ni tafsiri ya kutokuwa na akili?Ni kweli hana akili mkuu .logic ya asemacho mtu hu reflect akili yake. Huyo mzee amewahi kuropoka watu wasioane bila cheti ya kuzaliwa. Thinking ya mtu asiye na akili
Kwahiyo ukipigiwa simu na namba mpya uje huku uangalie kama ni tapeli? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwa akili hizi Mwakyembe ni halali ajivunie degree zake 4. Yaani hilo ni suala la mtu mwenyewe kutumia akili, utaweka namba ngapi hapa?
Boya wewe hujielewi[emoji3][emoji3][emoji3]