Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

when i grow, i want to be a scania........"SCANIA SLOGAN)

NA HILI NALO KASEME (MBAGALA-KKOO)

MWANZA KWETU (MBURAHATI-KKOO)
 
'Niwarambe nisiwarambeeeeeee' kibajab cha mtera hicho

hata kwetu wapo
maskin haishiw ndoto(mwenge-tandik)
 
1.Alikufa kwa pombe.
2. Ndevu Urembo mwanaume pesa
3. Kazi mbaya unayo
4.Mrwanda The Striker
5. Kudua na kugosha chedi nini?
6.Let them say
7.Siyo ya marehemu
8.Mganga hapelekewi samaki
9. Nyuki Hakumbatiwi
10. Ukiomuona kobe mtini ujue kapandishwa
11. Nyati hakamuliwi maziwa
12. Kwenye msako wa kima nyani haponi.
13. Kumbe ugali bila ya Unga hauliki
14.Mtalaka hatongozwi
15.Kuku ni kuku jogooo jina
Hizi zinatiosha kwa leo.
 
CCM WAKATI WENU UMEFIKA KUONDOLEWA na NYENGINE WANGA WOTE MTAULIWA NA ELIMU.
 
Usione sura nzuri ukafikiri laini roho imekomaaaaa!. Daladala za masaki lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom