Tupia Kabila Lako

Tupia Kabila Lako

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,840
Tupia kabila lako,Tukutane wana ndugu hapa,kwa sie tuliohama makwetu tukumbushane ya kwetu
 

Attachments

  • 10172727_924530000894752_8585361083013588524_n.jpg
    10172727_924530000894752_8585361083013588524_n.jpg
    98.7 KB · Views: 360
Kabila zangu, Baba Zaramo, Babu Ntuzu, Bibi Manyema, na mama Digo's na wajomba ni wadengereko ni mixed grill
 
Mwakapanya, mwambeghesya, mwampulo, mwankimwa,mwatombesya, mwamakuma,mwamborotamu.
Mpk hapo utajua tumetoka wp
 
Back
Top Bottom