Mw. Upepe - anatembea kama kafungwa mota.
Mw. Kifimbo cheza - anacharaza kama hana akili uziri
Mw. Lete makono - anapiga viganjani
Mw. Weka ngoma juu - anacharaza pia lakini makalioni
Mw. Kombai - Mlevi wa "mnazi"
Mw. Masharubu ya shaba - alikuwa na sharubu nyekunduuuuu!
Mwalimu ambaye pia namkumbuka ni mwalimu kishazi,huyu mwl kila akifika darasani alikuwa anahitaji wanafunzi 2toe tofauti kati ya kishazi huru na tegemezi,Mungu ambariki ame2saidia kiukweli.
Contra..... Headmaster Kwiro Sec miaka ya 80--- alipenda sana kutamka neno contradiction.
Nyau..... Boarding master Tambaza High School----miaka ya tisini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.