Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

mwl 'domain', alikuwa akifundisha Maths nikiwa O'level. Grewal Sec. School. Hesabu za 'function' form 2.
 
siye tulikuwa na mwl anaitwa mr.Ngakuka alikuwa mfupi sasa zilipotoka coca zile ndogo tukawa zinaziita vingakuka
 
Clinton ( hili lilitokana na mwalimu wa civics kusex na kabint alikokua anakafundisha. Kumbuka kashfa ya rais clinton.)

Ngombe - hili linatokana na jinsi anavyoongea!

White - huyu ni mweusi balaa!

Kashbaba - huyu anaitwa kashinde
 
kibwagala huyu alikuwa mwalm wetu wa stadi za kazi! Alikuwa ana2fundisha aina za nguruwe akasema mtoto wa nguruwe anaitwa kibwagala! Then siku moja alivyokuwa anakuja mwanafunz akaja kututaarifu "mwalim kibwagala anakuja"
 
BIG NO-mwalimu wa english hiyo big no alikuwa anaitoa kwa nguvu mpaka unajuta kwanini ulijibu swali, na darasa lazima licheke.
 
chapombe -mats
cheka na ubao -alikua hana bandama (walioxoma kilimanjaro primary mosh wanamjua)
kipanya- physic
kiroboto- alikua anafinya huyo!
 
Mwalimu tumbo kuku,kibinda-enzi hizo kili boys,mwalimu kaniki -horombo sec
 
Kuna mwlm alikua ana2fundisha fizix,2likua 2namwita Bushmen alikua anatembea ka bushmen,mwngne chuchu konzi alikua ana maziwa makubwaaa,mwlm Malecela 2likua 2namuita babu kicheche,mwsho mwlm bichwa alikua ana bichwa kubwaa mwl mdogo.Kihonda Sec.Moro
 
Back
Top Bottom