Tupendekeze slogan inayofaa kwa uchaguzi wa 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupendekeze slogan inayofaa kwa uchaguzi wa 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TzPride, Aug 5, 2010.

 1. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi ni muhimu tukatengeneza slogan nzuri kwa ajili ya uchagu huu. Mimi napendekeza kati ya hizi moja itumike:

  KATAA CCM, KATAA UFISADI

  KURA KWA CCM NI KURA KWA UFISADI

  SEMA HAPANA KWA UFISADI, USIPIGIE CCM KURA

  n.k.

  Lete maoni yenu tufanikishe shughuli muhimu hii.
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1. Kataa rushwa ,tuizime ccm
   
 3. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kataa fisadi kwa kutochagua kijani
   
Loading...