fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Na unajiona upo sawa kichwani kweli???roosevelt alitawala miaka gani na sasa tupo kwenye miaka ipi?tatizo umeconcentrate kwenye minute things huku ukiacha a bigger picture,ningekuona wa maana saana kuidai katiba mpya ambayo kwayo hayo yote unayoyataka yatatimia tena kwa kasi na ukamilifu badala ya kumuachia mtu mmoja ndo atapanye anavohisi yeye hata kama anatekeleza,how sure are we kama hatupigwi cha juu kwa kizazi hiki kisichopenda kuhoji kinachotawaliwa na watawala wasiopenda kuhoji?Nimevutiwa na kazi ya ujenzi wa meli unaoendelea ziwa victoria na maziwa mengine
Uhamiaji wa serikali Dom,
Ujenzi wa SGR
Ununuzi wa Ndege na hata uongezwaji wa hifadhi mpya za wanyama
Ni mirad ambayo kutoka moyoni, ninajivunia kuona inafanywa, nailaumu kura niliyompigiaga "Baby mwenye blich la kikongo" in Roma Voice 2015 na ndo maana katika kulipiza hasira zake mimi naomba establishment isipuuzie maoni ya watu wanaotaka Mh Rais aende had kipindi cha 3.
Wamarekani wanaojifanya wanaijua demokrasia walifanya hivyo wa Roosevelt, wakampa vipindi vinne
Sisi ni nan kumuachia Magufuli awamu mbili.
Nipo tayar kufanya lolote ili mzee baba abaki had awamu ya tatu na nne ikibid, na sikumchagua 2015
Tukirud kwenye mirad
Mrad wa Uranium, Mrad wa chuma na mradi wa gesi kweli ipewe kipaumbele