Tupendane bila unafiki.......... Jamani tupendane!!!!!!

Tupendane bila unafiki.......... Jamani tupendane!!!!!!

ha haaa, you always tell me that, and I really believe you. You know I love you so much.
Mimi nimejifunza kitu kimoja, nikimfanyia mtu kitu, kwa roho safi, atakaposema asante hata kama hamaanishi Mungu ananibariki.... nadhani nahitaji baraka toka kwa Mungu zaidi ya reward toka kwa mtu. ndo maana rafiki, sijawahi kutaka kitu nikapiga magoti kuomba nikakosa..... sijawahi. kila ninachokutaka, nikimwambia Mungu seriously nahitaji hiki huwa napata.

Umeona eeh, reward from Mungu is the best kwani ndio mahitaji halisi na ya wakati unaofaa.
 
Tatizo wivu na ubinafsi umetutawala hebu cheki wahindi na waarabu walivyo na umoja, wakipata dili kwetu wanaalika na wenzao

Really, wahindi wa India au koo chache za hapa zilizoitana. Ni kawaida kuona wengine tusowajua kiundani kuwa mambo yao yako safi; lakini asili ya binadamu si siri sana.
 
Kama walichangia waliotangulia ni kwamba baadhi ya watu wako tayari kuuza hata utu wa mtu kwa thamani ya kitu..
yuko tayari akutilie fitina ili undoshwe katika nafasi fulani ili akae yeye n.k. jamani Mungu anapenda nasi tupendane.. Big up cataliya, i love you too....!!!!

Thank you mathcom.
 
Really, wahindi wa India au koo chache za hapa zilizoitana. Ni kawaida kuona wengine tusowajua kiundani kuwa mambo yao yako safi; lakini asili ya binadamu si siri sana.

KIZURI KULA NA NDUGUZO!!!!!!!! ila watanzania ni tofauti sana!!!!!
 
Really, wahindi wa India au koo chache za hapa zilizoitana. Ni kawaida kuona wengine tusowajua kiundani kuwa mambo yao yako safi; lakini asili ya binadamu si siri sana.

wenzetu wanainuana sisi tunakandamizana!!!!!!
 
cataliya umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaali sana...miaka siyo nyingi kuna jinadamu lilijidai kuunganisha wafanyakazi ofisini kudai nyongeza ya mishahara ila mimi na rafiki yangu mmoja tukastuka hivyo tukaitisha kikao na yeye akiwepo tukakubaliana ya kwenda kumwambia boss huku watu wakiruruka kwa furaha kisha tukawaambia kwa sababu hatuwezi kuongea wote tukampa yeye jukumu la kuwasilisha yaani siku tarajiwa mara naharisha, mara maleria mara ......mwisho boss akaja kunitonya picha nzima na kusema habari zote alikuwa anaambiwa na yule jinadamu na alimwambia mimi na mwenzangu ndio viongozi stajabu yake mbona hatukumwita kumwambia. Wabongo waone kama walivyo kila kichwa na akili zake.
 
Back
Top Bottom