Tupendane bila unafiki.......... Jamani tupendane!!!!!!

cataliya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
458
Reaction score
361
Kwanini watanzania wengi hatupendani kwenye haya makampuni ya kigeni????

Most of them ni ma snitch to the bosses kumalizana sisi kwa sisi!!!!! tazama malipo ni madogo compared to them with same job description yet mtu anakubali kuwa puppet!!!!!! why?? why?? why??

Hakuna tabia inayoniudhi kama mnafiki!!!! witches are better than hypocrites!!!!!! unaweza dhani by doing that ma boss wakakupenda ila trust me waki meet wanakudiscuss imagining what you will be talking about them coz i know NO MATTER HOW THE TRUTH IS BURRIED IT WILL COME TO OPEN, ONE DAY AND YOU SHALL PAY THE CONSEQUENCES!!!!!!

Watanzania jamani tupendane kuushinda huu utumwa wa mawazo....

LOVE COVERS SIN
LOVE ENDURES ALL
LOVE IS ALL IN ALL WHEN YOU DWELL IN IT TRUTHFULLY

LOVE YOU ALL MMU CREW!!!!!!!
icon11.png
 
I wish tungependana na kujaliana; lakini ubinafsi umetawala sana kiasi kwamba kipimo cha mtu kuwa nazo ni 'kumshinda fulani'. Ingekuwa kipimo ni furaha na sio kuwa kama au zaidi ya fulani huenda tungependana. Maana furaha ya kweli inapatikana kwenye kutoa zaidi na sio kupokea.

So my dear cataliya in as much as tunapenda watu wapendane lakini as long as UMIMI upo na mafanikio ya mtu yanapimwa kwa alichonacho; that thing is there to stay.
 
Last edited by a moderator:

Mpenzi Kaunga hii UMIMI ni human nature ila ucwe nayo kiasi cha kutamani kumpoteza mwenzio just becoz of greediness!!!!!

umoja una nguvu kuliko matengano, kama kundi la watu wakiamua kufanya kitu pamoja kwa nia moja absolutely success is guaranteed

Alaf hakuna ulaji wa mmoja mmoja lazima kushirikiana, mm nashangaa why kukubali kuwa kwenye position ya backbiting your subordinate ambayo cheo mko sawa!!!!!!

Tubadilike wapenzi watanzania.......
Usichoke kumpenda mwenzio!!!!!!!!!
 
yani umeongea cha maana, alafu huu utumwa sio maofisini tu hata hotel zingine wakiona rangi nyeupe fasta ila mwenzangu na mie mpaka macho yakutoke, tu watumwa wa rangi. yani ni kila mahari, kidogo polisi ndio wananifurahisha usiombe wakaikamata rangi nyeupe na kosa lol ataandikiwa na fine ambazo hazipo ....................................
 
Wabongo bila unafiki hawawezekani, sio huko tu kwenye kazi.......hata kwenye vitu vidogo ambavyo havina maana wao ni unafiki tu na majungu. Ukweli sijui wamelaaniwa?Jitu linakuchekea likiwa na wewe ila likigeuza tu shingo linakuchefua na kukusema as if hamjawahi kucheka nalo. Tanzania bila Unafiki haiwezekani.
 
I wish tungependana na kujaliana; lakini ubinafsi umetawala sana kiasi kwamba kipimo cha mtu kuwa nazo ni 'kumshinda fulani'. Ingekuwa kipimo ni furaha na sio kuwa kama au zaidi ya fulani huenda tungependana. Maana furaha ya kweli inapatikana kwenye kutoa zaidi na sio kupokea.

So my dear cataliya in as much as tunapenda watu wapendane lakini as long as UMIMI upo na mafanikio ya mtu yanapimwa kwa alichonacho; that thing is there to stay.
rafiki, mbona mimi nakupenda ingawa umenizidi mbali sana?
au sababu mimi nipo serikalini?
 
umenikumbusha office mmoja jamaa alikuwa anajipendekeza kwa boss weupe hao kila kukicha taarifa za anafikisha tena za kutunga na wenzake kuachishwa kazi lol siku lilipomfika yeye alifukuzwa kwa aibu zaidi ya mbwa mwizi.....hakuna sababu ya kuwa mnafiki ili wewe ufaidike ni kwa muda mfupi baadae utaumbuka upendo wa dhati ni ngumu sana kwa kweli
 
yani umeongea cha maana, alafu huu utumwa sio maofisini tu hata hotel zingine wakiona rangi nyeupe fasta ila mwenzangu na mie mpaka macho yakutoke, tu watumwa wa rangi. yani ni kila mahari, kidogo polisi ndio wananifurahisha usiombe wakaikamata rangi nyeupe na kosa lol ataandikiwa na fine ambazo hazipo ....................................

Hasa ukiwa na partner wako alaf wote black!!!!!! utajuta.....

Umenikumbusha, niliingia na bf hotelini ( naogopa ban na ctaitaja) hayo mapozi ya wadada utafikiri anajitongozesha..... akaja waitress jamani cjui ni dharau tulikaaje mpaka kula mpaka hamu yaisha!!!! basi chakula kikaletwa na waitress mwingine huyu alikuwa mkarimu kidogo mpaka nikasema kip chenji kati c kawaida yangu kwani hata cent yangu haliwi kirahisi rahisi!!!!
 
Mpenzi Kaunga hii UMIMI ni human nature ila ucwe nayo kiasi cha kutamani kumpoteza mwenzio just becoz of greediness!!!!!

umoja una nguvu kuliko matengano, kama kundi la watu wakiamua kufanya kitu pamoja kwa nia moja absolutely success is guaranteed

Alaf hakuna ulaji wa mmoja mmoja lazima kushirikiana, mm nashangaa why kukubali kuwa kwenye position ya backbiting your subordinate ambayo cheo mko sawa!!!!!!

Tubadilike wapenzi watanzania.......
Usichoke kumpenda mwenzio!!!!!!!!!
siyo human nature, ni roho mbaya tu.....
mimi nina rafiki zangu (wadada) 2. Mmoja ni boss fulani huko benki, na mwingine ni mfanyakazi wa kawaida ila pia ana business zake..... mimi peke yangu ndo n.k (na kadhalika).
huwezi amini wale marafiki wengine mimi ndo huwa nawakutanisha, nawaambia kabisa hela tunazitafuta sana lakini tunahitaji muda wa kupumzika na kubadilishana mawazo. Michongo mingi sana ya yule mfanya biashara mimi ndo nampa, kwanza nimekuwa mteja mkubwa wa bidhaa zake na pia kila anayeingia kwenye anga zangu lazima nimbabatizie atumie bidhaa zake. Kuna siku yule dada aliniambia kwa nini tusifanye wote ile biashara? maana mara nyingi huwa anaacha bidhaa zake kwangu ili wateja waje wachukue, namwambia No! this is your business, nakusaidia tu kama rafiki, na nimekuwa nikifanya hivyo, happily..... na sipati hata thumni
 
rafiki, mbona mimi nakupenda ingawa umenizidi mbali sana?
au sababu mimi nipo serikalini?

hahahah, sina doubt na mapenzi yako kwangu ambayo ni unconditional; lakini la kuzidiana rafiki mimi hata silijui na wala sijawahi lifikiria.
Urafiki ni kitu kingine, lakini hii ya kucoexist kwenye work place, society ni full mashindano na chuki; of course si kwa wote na huenda idadi isiwe kubwa kuliko ya waso na chuki lakini madhara ya chuki ya watu wawili ni makubwa sana kuliko mapendo au hata indifference ya watu wengine.
 
siyo human nature, ni roho mbaya tu.....
mimi nina rafiki zangu (wadada) 2. Mmoja ni boss fulani huko benki, na mwingine ni mfanyakazi wa kawaida ila pia ana business zake..... mimi peke yangu ndo n.k (na kadhalika).
huwezi amini wale marafiki wengine mimi ndo huwa nawakutanisha, nawaambia kabisa hela tunazitafuta sana lakini tunahitaji muda wa kupumzika na kubadilishana mawazo. Michongo mingi sana ya yule mfanya biashara mimi ndo nampa, kwanza nimekuwa mteja mkubwa wa bidhaa zake na pia kila anayeingia kwenye anga zangu lazima nimbabatizie atumie bidhaa zake. Kuna siku yule dada aliniambia kwa nini tusifanye wote ile biashara? maana mara nyingi huwa anaacha bidhaa zake kwangu ili wateja waje wachukue, namwambia No! this is your business, nakusaidia tu kama rafiki, na nimekuwa nikifanya hivyo, happily..... na sipati hata thumni

You are special my dear; yaani ni wachache sana wenye mioyo kama yako; wengi wetu ni korosho mpaka basi. Mimi nina mmama mmoja hapa; yaani kila akipata nafasi ya kunizibia anaziba. Mengine Mungu akitilia mkono huwa yanakuja juu kwa juu basi ananunaga huyo.
Lakini nimejifunza kuwapenda watu wa hivyo, kwani ukiwatendea wema au kuwaombea ungrateful people basi unapata reward toka kwa Mungu ambayo huwezi fananisha na reward ambayo angekupa yule uliyemfanyia wema. So furahia siku zote wema wako usipolipwa kuliko ukilipwa.
BTW, when was the last time l told you how much l love you???
 
hahahah, sina doubt na mapenzi yako kwangu ambayo ni unconditional; lakini la kuzidiana rafiki mimi hata silijui na wala sijawahi lifikiria.
Urafiki ni kitu kingine, lakini hii ya kucoexist kwenye work place, society ni full mashindano na chuki; of course si kwa wote na huenda idadi isiwe kubwa kuliko ya waso na chuki lakini madhara ya chuki ya watu wawili ni makubwa sana kuliko mapendo au hata indifference ya watu wengine.
nimekupata rafiki....
halafu nakutafuta, leo hii itabidi tuwasiliane, kuna maelekezo nayahitaji toka kwako, please
 
ngoja basi niingie chemba; see you there!
 
Binafsi napiga mzigo kwa Wakoloni (Foreigners) lakini kuna jambo moja nimejifunza, yampasa Mbongo kutoweka matumaini kwa hawa jamaa....
 
Tatizo wivu na ubinafsi umetutawala hebu cheki wahindi na waarabu walivyo na umoja, wakipata dili kwetu wanaalika na wenzao
 
You are special my dear; yaani ni wachache sana wenye mioyo kama yako; wengi wetu ni korosho mpaka basi. Mimi nina mmama mmoja hapa; yaani kila akipata nafasi ya kunizibia anaziba. Mengine Mungu akitilia mkono huwa yanakuja juu kwa juu basi ananunaga huyo.
Lakini nimejifunza kuwapenda watu wa hivyo, kwani ukiwatendea wema au kuwaombea ungrateful people basi unapata reward toka kwa Mungu ambayo huwezi fananisha na reward ambayo angekupa yule uliyemfanyia wema. So furahia siku zote wema wako usipolipwa kuliko ukilipwa.
BTW, when was the last time l told you how much l love you???
ha haaa, you always tell me that, and I really believe you. You know I love you so much.
Mimi nimejifunza kitu kimoja, nikimfanyia mtu kitu, kwa roho safi, atakaposema asante hata kama hamaanishi Mungu ananibariki.... nadhani nahitaji baraka toka kwa Mungu zaidi ya reward toka kwa mtu. ndo maana rafiki, sijawahi kutaka kitu nikapiga magoti kuomba nikakosa..... sijawahi. kila ninachokutaka, nikimwambia Mungu seriously nahitaji hiki huwa napata.
 
Kwanini watanzania wengi hatupendani kwenye haya makampuni ya kigeni????

Most of them ni ma snitch to the bosses kumalizana sisi kwa sisi!!!!! tazama malipo ni madogo compared to them with same job description yet mtu anakubali kuwa puppet!!!!!! why?? why?? why??

Hakuna tabia inayoniudhi kama mnafiki!!!! witches are better than hypocrites!!!!!! unaweza dhani by doing that ma boss wakakupenda ila trust me waki meet wanakudiscuss imagining what you will be talking about them coz i know NO MATTER HOW THE TRUTH IS BURRIED IT WILL COME TO OPEN, ONE DAY AND YOU SHALL PAY THE CONSEQUENCES!!!!!!

Watanzania jamani tupendane kuushinda huu utumwa wa mawazo....

LOVE COVERS SIN
LOVE ENDURES ALL
LOVE IS ALL IN ALL WHEN YOU DWELL IN IT TRUTHFULLY

LOVE YOU ALL MMU CREW!!!!!!!
icon11.png
Kama walichangia waliotangulia ni kwamba baadhi ya watu wako tayari kuuza hata utu wa mtu kwa thamani ya kitu..
yuko tayari akutilie fitina ili undoshwe katika nafasi fulani ili akae yeye n.k. jamani Mungu anapenda nasi tupendane.. Big up cataliya, i love you too....!!!!
 
Back
Top Bottom