KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
- Thread starter
- #81
LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF na NHIF wote ni wale wale
mim siez tena written interview mkuu,hapo umewasahau Tanapa ndugu
LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF na NHIF wote ni wale wale
ivi majibu wanatoa lini na watatoa kwa mtindo gani maana mi binafsi nimetokea Arusha
ivi majibu wanatoa lini na watatoa kwa mtindo gani maana mi binafsi nimetokea Arusha
Aseee... katka intrvw ambazo nmewai kufanya...kiukwel precision air wapo wel organized mpk raha..
cha ajabu watu wanawasema nssf tuLAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF na NHIF wote ni wale wale
Dah ppf waliita watu kamaa 2500 na.....hv i thnk lile changa la macho2 kuna wa2 walshapangwa Lol!.
watu 2500 kwa post moja au post zote jumla watu waliowaita ni 2500?