KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Kuna watu wengi sana na bado wanazidi kuongezeka.
Kuna watu wengi sana na bado wanazidi kuongezeka.
Kiukweli watu ni wengi sana,jamaa wa ppf ndiyo wameingia na V8 jeupe limepaki hapa kizota wanaenda kucheki utaratibu,duh hii nyomi ni balaa
Mkuu hiyo nyomi hapo mnaweza kufika wangapi? tujifikirie na sisi kuja au kutokuja!
Mkuu hiyo nyomi hapo mnaweza kufika wangapi? tujifikirie na sisi kuja au kutokuja!
Mkuu kwa nn usifike!?? Wewe ndo mtuu sahihi kwa nafasi uliyoomba...sasa unazan nafasi yako atapewa nani!??
Katika Jina la Mungu aliye juu, naharibu roho zote za kukata tamaa...Amina
mkuu no karibia 1000 watu bado wanakuja
Kuna watu waliitwa kwenye usail? au kila mmoja mwenye uhitaji?