Tupeane yanayojiri DUCE kwenye usaili wa PPF

Tupeane yanayojiri DUCE kwenye usaili wa PPF

Wanaotoka kufanya intake ya kwanza kila mtu kachukia eti kisa maswali yapo simple na idadi kubwa ya watu.
 
Wakuu kwa intake ya kwanza maswali yalikuwa 50 multiple choices na TRUE/FALSE.
 
usumbufu huu, sawa wametangaza wale ambao bado awajamaliza degree na waliomba kutumia matokeo ya yasiokamilika watoke nje, watu ndo wanatoka....kwa nn mliwaita?

Hao jamaa wanamatatizo, hivi waliitaje hadi watu ambao matokeo yao hajakamilika, halafu mtu katoka mkoani unakuja kumtoa hata usaili wenyewe hajafanya.
 
Nimepenyezewa taarifa hapa kuwa wanaoendesha usaili huu sio ppf wenyewe bali watu wengine tofauti toka nje ya ppf wamekasimishwa kuendesha zoezi hili.
Unaingia, unakaguliwa vyeti vyako, unaandika jina kwenye karatasi la maswali na kuanza kujibu.
Ukimaliza unakusanya na kutokomea zako.
 
Wakuu msijiumize sana vichwa kusoma mambo huku vitu vitakuwa simple sana, usishangae kukuta umepewa karatasi na kuulizwa, WHAT IS YOUR NAME, HOW IS YOUR SEX?
 
zoezi la kujiandikisha kwenye daftatri la wapiga kura lilizinduliwa na mheshimiwa waziri mkuu mizengo pinda mkoani kagera andika kweli au si kweli(hilo pia lilikua mojawapo la maswali yetu)
 
TFDA stands for Tanganyika Food and Drugs Authority: write True or False
 
Wadau sisi tuliofanya operation trainee tumekutana na fill in the blanks, maltiplechoice & True & False na ndio tumetoka sasa yaani hii ilikua zamu ya sa9
 
Duuu lakini in general hii interview imekuwa simple Sana.... Tuone tu usahishaji utakuaje. Tuombe yasiwe yale mambo ya mtoto wa shangaz mjomba baba kantuma
 
Back
Top Bottom