Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 454
Hakuna haja ya kusita kuhudhuria usaili kama unaweza na unayo nafasi ya kufanya hivyo hata kama idadi ya wasailiwa ni kubwa kupindukia (kumbuka kuwa wahitimu ni wengi sana kwa sasa na bado wanaongezeka kila siku), huwezi kujua pengine wewe ndio umeandikiwa kuipata moja kati ya nafasi hizo chache zilizotangazwa.
Ukihudhuria usaili mara kwa mara inakujengea tabia ya kujifunza na uzoefu wa yanayojiri huko.
Ukihudhuria usaili mara kwa mara inakujengea tabia ya kujifunza na uzoefu wa yanayojiri huko.