Tupeane yanayojiri DUCE kwenye usaili wa PPF

Tupeane yanayojiri DUCE kwenye usaili wa PPF

Ngoja nami nijongee eneo la tukio nikajionee yatakayojiri, nimepagwa phase ya 2 kwa nafasi ya member services trainee.
 
Najiandaa niende

mmmhhh..japo inakatisha tamaa
 
Nyie nendeni mkabanane huko watu wenye nafasi zao zipo tayari wanakunywa bia sasa
 
mpka saiv interview iliyopangwa kuanza saa2 asubuhi haijaanza,ppf kweli ni kiboko!!!
 
Najuta kuja hii interview yaaani daah!

unaanzaje kujuta sasa?? usikate tamaa we fanya tu you never know...ujue kuna watu wameomba na hawajaitwa na walitamani wawepo so usipoteze hiyo nafasi
 
Nimeshafika eneo la tukio, walioko ndani nadhani wameshaanza usaili wa kuandika, hapa nje napi watu ni wengi sana tena kupindukia wakisubiri kuingia awamu ya pili, nimejaribu kupita pita walipokaa wenzangu na kugundua kuwa nyuso na mioyo yao imeshakata tamaa wengi hawakutegemea kukutana na hali kama hii.
 
Nimepita mahali nimewaona jamaa kama watatu hivi wakiwa na NGAMIZI zao wanaperuzi peruzi, sasa sijui kama wanajua ni online test au dhana za maandalizi ya usaili.
 
unaanzaje kujuta sasa?? usikate tamaa we fanya tu you never know...ujue kuna watu wameomba na hawajaitwa na walitamani wawepo so usipoteze hiyo nafasi

bwana weeee!
Hali ya hapa kwa kweli inakatisha tamaa hasa ukizingatia idadi ya watu walioko hapa na nafasi zilizopo haileti matumaini kabisa.
 
Intake ya pili tumejipanga mstari tayari kwa kukaguliwa vyeti na kuingia ndani ya ukumbi japo wale asubuhi bado hawajamaliza.
 
Intake ya pili tumejipanga mstari tayari kwa kukaguliwa vyeti na kuingia ndani ya ukumbi japo wale asubuhi bado hawajamaliza.

Kumbe upo eneo la tikio mkuu chitemo...tupe update sa wanataka vyeti original kwa interview ya written kweli..dah hii kali mara nyingi vyeti ni interview ya oral
 
Kumbe upo eneo la tikio mkuu chitemo...tupe update sa wanataka vyeti original kwa interview ya written kweli..dah hii kali mara nyingi vyeti ni interview ya oral

kwa uzoefu wa usaili niliofanya mara nyingi pale PSRS, huwa wanahitaji vyeti orignal tangu hatua ya kwanza kabisa mpaka mwisho.
Intake ya pili bado hatujaanza kuingia ndani kwani wale wa asubuhi nao bado hawajamaliza usaili wao mpaka muda huu.
 
Thanks mkuu me ndio interview yakwanza kuambiwa niende na original....haya ngoja tuone ila watu ni wengi kweli mkuu Chitemo?
 
Back
Top Bottom