Tupeane uzoefu,stress za maandalizi ya ndoa.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,028
Nakumbuka nilikuwa namawazo sana nafikiria huyu binti atakubali kweli?

Kipindi hiko maisha magumu kinoma niliwaza pesa ya kishere kidogo naitoa wap??

Nashukuru Mungu ilipita salama gharama haikuzidi 100000/=

Nakumbuka baada ya ndoa nilihisi kuna mzigo nimeutua..
VP we ilikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeoa mwaka gani? Mm nishasahu hata gharama za harusi zulikuwaje

Back
Top Bottom