Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

Wasalamu,

Taarifa ziwafikie vibaka ,majambazi na wamiliki wao Mama anashughulika na ninyi kimya kimya.

IGP ameapa kufa kupona na ninyi mkakati uliopo ni hatari na umeshaanza kufanya Kazi.
Nawashauri mtafute shughuli nyingine hata kuuza karanga.
wauawa kimyakimya
 
Vipi wale wanaojiliwaza kwa mamilioni ya pesa kwa kazi maalumu hewa? Vipi wale wabunge wa chama hewa? Na wengi wengine wa namna hiyo?

Kamanda Sirro au mama wana lolote jipya kuwahusu? Au kama ilivyozoeleka wezi ni wale vibaka wezi wa kuku wala si mafisadi papa hawa wanaojulikana?
 
Nalilaumu Jeshi letu la polisi kwa kutangaza swala hili badala ya kufanya kimya kimya. Wangekuwa na nia ya kudhibiti uhalifu wangefanya kwa Siri nakuwavamia.

Hakuna jambazi mpumbavu wa kutekeleza uhalifu kizembe ilihali ameshasikia parapanda Italia kwa miezi mitatu mfululizo. Badala yake majambazi wataongeza umakini au kubadili mbinu za uhalifu.

Nashawishika kusema huwenda polisi ni waoga ndiyo maana wanatanguliza tangazo ili majambazi wajifiche au baadhi Yao wanafaidika na uhalifu unaofanywa na majambazi.
, Mimi nikitaka kukujua wew naenda kupata taarifa kitaani kwenu. Nadhani ndivyo polisi wanavyo wakamataga hawa jamaa hata kama wamelay low kwa wakat huo.
 
Wasalamu,

Taarifa ziwafikie vibaka ,majambazi na wamiliki wao Mama anashughulika na ninyi kimya kimya.

IGP ameapa kufa kupona na ninyi mkakati uliopo ni hatari na umeshaanza kufanya Kazi.
Nawashauri mtafute shughuli nyingine hata kuuza karanga.
Yes washaaanza kula vyuma ,wawili walikimbilia TARIME ,kwasasa wapo JEHANAMU washakula vyuma tayari.

Dawa ya kumaliza ujambazi ni KUWAPA VYUMA TU hakuna njia nyingine.
 
Vipi wale wanaojiliwaza mamilioni ya pesa kwa kazi maalumu hewa? Vipi wale wabunge wa chama hewa? Na wa namna hiyo.

Kamanda Sirro au mama wana lolote jipya kuwahusu?
We tulia uusome mchezo.... Alafu wale wadudu kumi na tisa ni spishi nyingine hawezi kuingilia kichwa kichwa
 
Isiishie tu kukamata waonekane pia mahakamani na vizibiti ubaoni isiwe kuonea wapita njia
 
Nalilaumu Jeshi letu la polisi kwa kutangaza swala hili badala ya kufanya kimya kimya. Wangekuwa na nia ya kudhibiti uhalifu wangefanya kwa Siri nakuwavamia.

Hakuna jambazi mpumbavu wa kutekeleza uhalifu kizembe ilihali ameshasikia parapanda Italia kwa miezi mitatu mfululizo. Badala yake majambazi wataongeza umakini au kubadili mbinu za uhalifu.

Nashawishika kusema huwenda polisi ni waoga ndiyo maana wanatanguliza tangazo ili majambazi wajifiche au baadhi Yao wanafaidika na uhalifu unaofanywa na majambazi.
hawajatanguliza tangazo vichwa vimeshaliwa tayari
 
Isiishie tu kukamata waonekane pia mahakamani na vizibiti ubaoni isiwe kuonea wapita njia

Ni nadra sana polisi kuua mtu asiye jambazi. Polisi wanawafahamu watuhumiwa vizuri kabisa, ukiona wamempa mtu chuma, ujue wana uhakika na wanachokifanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom