sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,565
- 11,480
Kweli mazuzu hawatoisha. Hizo updates na wazungu kuhudhurua mahakamani ndio itawaletea umeme na maji ndugu zako kule tandahimba?Hahaha, Mimi sijawahi kuupenda utawala wa waovu, nifuatilie kuanzia 2015 mpaka Feb 2021! Kwa sasa naamini mama atatupeleka mahali, hawa waimba mapambio hawajawahi kuwa jamaa zangu! Swali moja Mkuu unadhani muovu angekuwa madarakani tungepata hizi updates za mahakamani? Au wale wazungu angeruhusu wahudhurie kwa courts?
Nenda kijijini kweli ulipotoka waambie nchi inaenda vizuri hata wazungu wanahudhuria mahakamani. Kisha tuambie watakujibu nini.