Tupeane update za HESLB Loan Application 2021/2022

lutajangurwa

Senior Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
126
Reaction score
172
Wandugu, bado kuna shida ya kupata control number. Tetesi ni kwamba, kuna baadhi ya waombaji walisogea karibu na jengo la bodi, wakidhani kwamba pale ndipo mtandao utajibu haraka.

Wengine wamehangaika kubadili line zao kuwa 4G, lakini wapi. Hivi ni kweli sever imezidiwa au ni nini hasa! Na je mbona bodi haijitokezi kutoa ufafanuzi?
 
Hilo tatizo limeshakuwa SOLVED, hivyo endelea na taratibu zingine
 
Mm nauliza ukisha fill information zote online kuna sehem wanasema una print form kisha unaisaini. Ukishafanya hivo nn kinafuata? Unaituma kwa njia ya EMS?
 
Back
Top Bottom