Tupeane tips za Valentine day

Tupeane tips za Valentine day

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Tchaaaooo.
Heshima kwenu wana janvi.

Kila mmoja tunafahamu Tarehe 14 ni siku ya wapendanao.

Je kwa sisi ambao wapenzi wetu wapo mbali na kuonana ni vigumu unaweza ukamfanyia nini jamaa ukamfarijina yeye akajihisi kweli japo yuko mbali lakini we are together on this special day.

Au nizawad gan naweza kumpa isiyozidi 50k

#Mawazo yenu wakuu na wengine watajifunza kitu.
 
Tunahangaika sana na kutumia nguvu nyingi kuendana na kuiga utamaduni wa wazungu!..
 
𝕄𝕡𝕚𝕘𝕚𝕖 𝕤𝕚𝕞𝕦 .....𝕂ℍ𝕌𝕄𝔹𝕌
 
Back
Top Bottom