wapi hapo?Huku mjini wakaki ni wengi na vimulimuli vyao
uko wapi dar?Hata Da'slam kumepoa tu shughuli za kila siku zinaendelea
All overwapi hapo?
huku ofisi za chama wanatoa posho zilizotoka HQ kwaajili ya kupiga kelele na mayowe mitaani baada ya hukumu, vip huko?Huku hali shwali hakuna shida. Waja leo waondoka leo!

Uende na MsangamweluNimetokea Isangawana, Bintimanyanga, Lupa, Makongolosi, Chunya, Njiapanda, Simbaliff, Majengo, Sangambi, Shoga hadi Twiga..... huko pote sioni hekaheka za manjagu