kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,905
Swali moja limetoka kuhusu wadau(stakeholders), kwenye Tax officer interview!hahahaha wewe umewaingiza chakaa,,,
Kama umeshindwa kung'amua stakeholders wao wanawezesha vp tax collection pole
Wewe ni hatariAGOA, MDGs, makinikia,
TRA ndio wanaenda kupiga Penalt. Kupitia uzi huu wameshajua kipa anajiandaa kuruka upande upi, hivyo kazi ya "kumuuza" kipa itakua rahisi sanaMods please msifute huu uzi,this is not a leak ni mawazo tu yakujadiliana hapa na wadau.
Fahamu TRA imeanzishwa lini na kwa sheria ipi na imeanza kazi lini.
Soma kuhusu Corporate Plan yao ya 4 ya 2013/14-2017/18,hapa utakutana na mambo kama Mission,Vision,Themes and Perspectives.Pitia kwa juu juu plans zilizopita nyuma ujue malengo yake,mafanikio na changamoto zao.Uelezee pia kwamba hii plan imekwenda sambamba na maono ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa kama MDGs,Vision 2025,NSGRP II,MKUZA II,KILIMO KWANZA,BRN and FYDP 2011-2016
Organisation Structure yao lazima uijue,Boards na Standing Committees,Directors and their deputies,commissioner general and deputy.Departments zote kama Domestic Revenue,Large Taxpayers and its sub departments.Hii itakusaidia kujua haswa TRA wamejipangaje.Mfano Customs and Excise Department kuna Deputy Commissioners wanaosimamia Trade facilitation and procedures,Risk management and modernisation,Compliance and Enforcement pamoja na TRA Zanzibar.
Wafahame wadau wao kama mlipa kodi mwenyewe,taasisi za kifedha ,wizara, idara, wakala mbalimbali wa serikali n,k
Ijue pia taxpayers Charter,mwongozo unaoonyesha wajibu na haki katika huduma mbalimbali anazopata mteja toka kwa TRA.
Fahamu services which are provided kama tax assessment,collection and accounting,training n.k
Kikubwa zaidi ujue kuhusu all types of taxes wanazodeal nazo,kuanzia income tax ,skills and development levy,corporate tax ,PAYE,withholding tax mpaka stamp duty,pia fahamu Acts tofauti tofauti kwa juu juu kama East Africa Community Customs Management Act 2004.
Pia usisahau kujikita zaidi katika ile post yako uliyoomba na usome pia duties and responsibilities.Kwa mfano kama umeomba customs officer basi ujitahidi hata uwe na idea kuhusu import and export procedures n,k
Chanzo www.tra.go.tz
duuhTRA ndio wanaenda kupiga Penalt. Kupitia uzi huu wameshajua kipa anajiandaa kuruka upande upi, hivyo kazi ya "kumuuza" kipa itakua rahisi sana
Hawa hawaulizi maswali ya namna hii wanauliza current issue na maswali ya darasan na makazini the applicabilit. Maswal ya namna hii labda Tanapa unaweza ukakuta hata swal moja lkn si hawaMods please msifute huu uzi,this is not a leak ni mawazo tu yakujadiliana hapa na wadau.