tupeane possible za kesho form 4

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
kichwa cha habari hapo juu kinajieleza sio matango pori.
 
We mlugo type unategemea ubashir. Et!!
 
why ngoni trible shift from south africa to tz
 
Watoto wanamtihani wanashinda jf...discuss
 
Usihangaike BRN ipo,hakuna kufeli.Ni kazi tu. Kunywa Maji Mengi.
 
How far democratic elections were democratic in Zanzibar during the 2015 General elections?
 
Nakumbuka wakati niko form 6 tulipeana hayo Matango pori halafu hata swali moja hatukukuta.
 
Jadili matatizo ya fasihi simulizi katika uwasilishaji wake ukitoa mifano kuntu kutoka fasihi ya kiswahili
 
Watoto wanamtihani wanashinda jf...discuss

tar31oct2015 English premier ligi ..Chelsea vs Liverpool full time matokeo yalikuwa ni ngapi ngapi...????@10 marks
 
Soma kuanzia pale mwalimu alipoanzia kufundisha mpaka pale alipoishia.Aidha tafuta na ziada pamoja na kiada.NB.Ng'ombe hanenepi siku ya mnada japo anaweza kushiba.
 
Sie wengine kipindi tupo olevel tulikuwa tunaogopa kuingia JF.Posible ni kusoma kila kitu.
 
Nakumbuka wakati niko form 6 tulipeana hayo Matango pori halafu hata swali moja hatukukuta.

matango pori yanasaidia kama topic zote zinazotakiwa kusoma ulizi-cover fresh..........coz matongopori yanaweza yasiwe yenyewe lakin yaka-relate na national exam yenyewe.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…