Tupeane mbinu za kutoka kwenye friendzone

Pekejeng

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
502
1,254
Wakuu unakuta unaanzisha urafiki na manzi lengo ni kuwa hapo baadae utupie sound lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na mnavyozidi kuzioeana unajikuta unashindwa kusema ukweli mwisho wa siku unajenga hofu ya kukataliwa na kushindwa kabisa kufunguka ukizingatia na hofu ya kuvunjika kwa urafiki.

Sasa embu tupeane uzoefu ni njia ipi sahihi ya kujikwamua au kuepuka kuwa kwenye friendzone
 
Wakuu unakuta unaanzisha urafiki na manzi lengo ni kuwa hapo baadae utupie sound lakin kadri siku zinavyozidi kwenda na mnavyozidi kuzioeana unajikuta unashindwa kusema ukweli. Mwisho wa siku unajenga hofu ya kukataliwa na kushindwa kabisa kufunguka ukizingatia na hofu ya kuvunjika kwa urafiki.

Sasa embu tupeane uzoefu ni njia ipi sahihi ya kujikwamua au kuepuka kuwa kwenye friendzone

Mara nyingi kama mwanamke anakutaka utanotice ishara. Lakini kukaa friendzone kunamaanisha hajavutiwa na wewe bado. Na mpaka mwanamke ambaye ameshakuassess akaona huna tabia ama vitu vyote anavyotaka aje akukubali utasubiri sana mzee baba. Yani hapo ni mpaka vidume vyenye anavyotaka viharibu. It means you will be there to offer a shoulder to cry on hadi aje aone kuwa in the end wewe ndo mwanaume unayemfaa. Utapata tabu sana hadi ufikie hiko kipindi
 
Wakuu unakuta unaanzisha urafiki na manzi lengo ni kuwa hapo baadae utupie sound lakin kadri siku zinavyozidi kwenda na mnavyozidi kuzioeana unajikuta unashindwa kusema ukweli. Mwisho wa siku unajenga hofu ya kukataliwa na kushindwa kabisa kufunguka ukizingatia na hofu ya kuvunjika kwa urafiki.

Sasa embu tupeane uzoefu ni njia ipi sahihi ya kujikwamua au kuepuka kuwa kwenye friendzone

sikuhizi wadada hawakuweki friendzone mkuu, utapigwa mizinga ya pesa hadi utakimbia. jojoe
 
Nasubiri mdada atakaetaka kujua jinsi ya kumfriend zone mwanaume. Niko hapa mwenyekiti wao
 
Hebu siku muweke demu friendzone kisha utaona jinsi utakavyoenjoy
 
Kwanza kubali mwanamke akikuweka huko ujue hana hisia na wewe wala hakufikirii. Labda rafiki yako wawe type ya mwanamke akilewa anataka dushe hapo utafanikiwa maana ukishamlala mwanamke hana ujanja tena hasa kama game ilikua A+.
Zaidi ya hapo kaka kama huna mpango wa urafiki we funguka mapemaaaa ukikataliwa basi kwanza hautakua wa kwanza.
 
Nasubiri mdada atakaetaka kujua jinsi ya kumfriend zone mwanaume. Niko hapa mwenyekiti wao

Bora umwambie mwanaume straight kuwa humtaki, coz ukim-friendzone jamaa bila kumwambia humtaki unaweza kuwa unamuumiza a good man ambae ana nia njema, ila ukimwambia humtaki still anakung'ang'ania ndo um-friendzone hlf umchune pesa ili ajifunze...coz kuna wanaume mafala sana..hata mm nlikuwaga na huo ufala wa kung'ang'ania ila sahiv nishaacha coz yaliyonikuta hayasimuliki kwa maandishi Mzigua90
 
Ha ha haaaa.... Tafuta wimbo wa Christopher Martin unaitwa "Free me up"..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom