Tupeane Mawazo: Tunaomiliki wanawake warembo/wazuri

Tupeane Mawazo: Tunaomiliki wanawake warembo/wazuri

Wanawake wazuri kiasi hicho unachosema hua sio wa kudumu nao. Hao unachapa tu kipindi upo nae lakini ujue kabisa mda si mrefu mtaachana. Na ikifika kipindi cha kuachana pia usimng'ang'anie... muache aende zake utaepuka mengi.
Hongera mzee.. waache watoto wajione wana bahati kudate na watoto wazuri, kiuhalisia wanawake wazuri ni Pasua Kichwa.
 
wengine wana sema mapenzi ni pesa wengine mapenzi upendo wa kweli kumpenda mtu alivyo ,wanawake bado aijajulikana wana penda nn mpaka sasa
 
Pisi kali labda ikupende yenyewe mkuu utafaidi vilivyonona otherwise ni umwage MONEY MONEY MONEY
 
Back
Top Bottom