Tupeane maujanja ya Excel

Wenye changamoto za Ms Excel mmeisha?
Aisee wewe ni mwamba wa excel
Haya hebu nisaidie dondoo za kutengeneza project management template ambayo nikiingiza tarehe za task inajizaja na bar yenye rangi
Zile tarehe za juu ndio huwa zinanichanganya sana
 
Wenye changamoto za Ms Excel mmeisha?
Huwa haziishi mkuu,sababu kila leo functions zinakuja mpya kutokana na versions za excel,Sahivi kuna TCol,Filter na mengine mengi ambayo yanakwambia Vlookup au IndexMatch ziko outdated
 
Nina topics zote za excel kwa njia ya video, lakin had leo huwa sielewi kitu chochote
 
Nina topics zote za excel kwa njia ya video, lakin had leo huwa sielewi kitu chochote
Hii mpaka uwe kwenye field husika either ni Accountant,Engineer au ni Data au financial analyst yaani kwako ikiwa ni zoezi endelevu utaijua tu, anza na basics kwanza
 
Hii mpaka uwe kwenye field husika either ni Accountant,Engineer au ni Data au financial analyst yaani kwako ikiwa ni zoezi endelevu utaijua tu, anza na basics kwanza
Huko nshashindwa mie.. πŸ™
 
Huko nshashindwa mie.. πŸ™
Umeiaminisha subconscious mind yako kuwa huwezi na kilichotokea ndio reality.

Inawezekana pia Excel haiko katika shughuli zako za kila siku.
Usikate tamaa kirahisi namna hiyo.
 
Aisee wewe ni mwamba wa excel
Haya hebu nisaidie dondoo za kutengeneza project management template ambayo nikiingiza tarehe za task inajizaja na bar yenye rangi
Zile tarehe za juu ndio huwa zinanichanganya sana
Hiyo unatumia conditional formatting, unaweza ukatengeneza table yenye columns ndogo ndogo then ukazipa values (dates) na kuziwekea conditional formatting. Utakapojaza tarehe husika, raw inajifill color yenyewe kulingana na idadi ya siku. Ukihitaji kutengenezewa nicheck, leo leo kazi inaisha
 
Huwa haziishi mkuu,sababu kila leo functions zinakuja mpya kutokana na versions za excel,Sahivi kuna TCol,Filter na mengine mengi ambayo yanakwambia Vlookup au IndexMatch ziko outdated
Leteni hizo changamoto, ulizieni na kwa majirani kama wanazo changamoto wawapatieni mzilete
 
Asante nitajaribu nilete mrejesho
 
Leteni hizo changamoto, ulizieni na kwa majirani kama wanazo changamoto wawapatieni mzilete
Hebu tuangalie jinsi ya ku interpretate function Arguments let say tuingize formula yetu hii kwenye attachment kwenye Function Argument ilete matokeo yale yale kama ulivofanya awali
 
Attachments

  • downloadfile-18.jpg
    55 KB · Views: 4
nimekupa solution free of charge, tena unataka nikuelekeze!! Duuuh, template hamtaki niwatengenezee sasa skills zangu nitakuwa nanufaika nazo vipi?! Kupata like jf?!
Lakini mkuu umeruhusu mwenyewe watu walete changamoto mbona tena unakuwa mkali?😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…