Tupeane maujanja ya Excel

Imegoma mkuu, ambapo ukiingiza 10,000,000 kwenye ile template ya TRA inakuja 3,000,000 kama provisional tax, wakati kwa hii formula uliyodevelop inakuja 90,000 mimi kwa ile formula inakuja 3,850,000 kwahiyo tumekosea kaka.
Kwa kutumia hizi rate za kwenye table, income ya 10Milion, tax yake haiwezi ikawa 3Milion.

Tuma link ya hiyo calculator ya TRA nikutengenezee formula
 
Kwa kutumia hizi rate za kwenye table, income ya 10Milion, tax yake haiwezi ikawa 3Milion.

Tuma link ya hiyo calculator ya TRA nikutengenezee formula
Cheki huo mpangilio mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20250306_181345_Chrome.jpg
    132.3 KB · Views: 43
Cheki huo mpangilio mkuu
Ukiweka income ya milion 10, hiyo online calculator ndio inaleta tax ya milion 3? Au ulikusudia kuandika 100,000,000?

Hata hivyo income ya 100M, tax yake ni 3,115,000/= sio 3M. Nipatie majibu ya calculator pindi income inapokuwa ni 6M, 9M na 15M ili nione majibu gani
 
Nimeweka kambi hapa
 
Bila shaka watu wameshaiva Excel kupitia huu uzi, ni mwaka umepita tangu mtu wa mwisho kuchangia
Mkuu tembea na hii, nikijaribu kutengeneza Formula inagoma ,kumbuka tushawahi kuizungumzia hii.
 

Attachments

  • Screenshot_20260109_191538_Gallery.jpg
    68.3 KB · Views: 10
Mkuu tembea na hii, nikijaribu kutengeneza Formula inagoma ,kumbuka tushawahi kuizungumzia hii.
Nielezee kipengele cha mwisho nikutengenezee formula. Hiyo range ya 11m mpaka 100m sijaielewa, inakuwa ni 3.5% ya excess from 11m? Naona kwenye formula yako umeweka ni 3.5% ya excess from 100m, ikiwa less than 100m italeta negative. Na pia ikiwa greater than 100m percent yake ni ngapi?
 

Hapo mkuu inamaana kuanzia 11m to 100m ndo rate yake ni 3.5% and above
 
Bado sijakupata, 11m to 100m inatumìa rate ya 3.5% of excess in 11m si ndio? Na ikitokea imezidi 100m, rate inatumika ipi?
Itakuwa ajabu kama mtaalam nitakosa hata soda, kwenye kutengenezewa template hamtaki kabisa kuniunga mkono dah!
 
Hiyo attachment ndo mtiririko wote, generate mkuu, kila nikgenerate inaleta invalid values
Formula hiyo hapo juu, sidhani kama itakataa utanipa feedback. Ms Excel haina ubavu wa kunitunishia misuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…