Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,222
Kikuu kumbe upo bwana🤣🤣🤣🤣Mmevunja vicoba mmezima simu
Hata sijakumiss.
Kikuu kumbe upo bwana🤣🤣🤣🤣Mmevunja vicoba mmezima simu
Nimemkumbuka PK naenda kumsalimia.🤣🤣🤣🤣🤣
Unakwenda wapi dogo?
Nafurahi kuona kumbe comments zetu zinamfurahisha mtuTumeitwa kimya kimya mdudu Lenie
Je imeishiaje Ile inshu ya kulazwa yule mtu wetu ?Nafurahi kuona kumbe comments zetu zinamfurahisha mtu
Unique Flower me na shoga angu Depal tunakuRavuuuuu😍
Alilazwa usingizi ulivyomuisha akaamka akatokomea kusikojulikanaJe imeishiaje Ile inshu ya kulazwa yule mtu wetu ?
Kwakweli uwakutanishe tu🤣🤣🤣🤣Kuna namna inabidi niwakutanishe live nyie viumbe, sijui hata mtafanyana nini mkikutana live🤣🤣🤣
AlipatikanaAlilazwa usingizi ulivyomuisha akaamka akatokomea kusikojulikana
Wakidaiwa wanawasha
Hahahahahahah umenimis huna loloteee...na nina ujumbe wakoooKikuu kumbe upo bwana🤣🤣🤣🤣
Hata sijakumiss.
Ajeeee huku migombani pia tumfurahishe na mbege 💃Nafurahi kuona kumbe comments zetu zinamfurahisha mtu
Unique Flower me na shoga angu Depal tunakuRavuuuuu😍
Wacha we!! Naona unamuibia maua.Nimemkumbuka PK naenda kumsalimia.
Nimshauri aachane na Tshekedi😂
Siutaki huo ujumbe, baki nao🤣🤣🤣🤣Hahahahahahah umenimis huna loloteee...na nina ujumbe wakooo
Ua moja lilishatoa tunda kitambo mkuu.Wacha we!! Naona unamuibia maua.