Tupeane LIKES

Ooooh!! Sawa sawa. Sasa kama ni zawadi kwanini uniulize mimi nahitaji kiasi gani? Kwanini usipange wewe!!
Hiyo mungu ndio kasema hivyo...

Huku kibinadamu mara ngapi tunaulizana, nikuletee zawadi gani, unataja(kwwa kuangalia uwezo wa mwenzio), nami kwa mapenzi naluletea ulichoagiza, nabeba sato toka mwanza mpaka dar, wakati dar wapo(kuthaminiana)

Haina tofauti na mahari(zawadi ya mke mtarajiwa)
Ni sawa na kukubaliana tarehe 10 nakuoa, kisha siku ya harusi nikuulize nikuletee zawadi gani, kisha we utaje..
Hii zawadi ndio mahari sasa, ambayo imekuwa ni lazima(sheria)
 
Ooooh! Basi sawa🤣🤣
 
Nani atanialika xmass ?? Glenn pulis naomba mchongo mzuri wa xmass ni kale wapi Kwa nani ambapo nitaenjoy sana tu
 
Inategemea unataka kula nini na huyo umtakaye ataka kula nini toka kwako.

Krisms kwangu huwa ni maalum kwa wasio jiweza.
Ni siku ya Bwana hivyo huifurahia na wasicho nacho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom