Mkuu KJ07 sisi tuite Wakuu tu hayo majina mengine utatutukana Mkuu, ukitaka kiinglish tuite Member 😂😂Hello Jamii Forumers,
Tukutane hapa kwa facts mbalimbali kuhusu mapenzi.
Nitaanza na hizo kadhaa na kuendelea nitakapopata wasaa.
Kama unazo pia ruksa kuweka
Same here [emoji4]Nimetulia zangu nafuatilia facts kwa umakini mno