Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,896
- 7,522
Wadau hamjambo nyote
Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio.
Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET...
Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea fursa za biashara za mifugo basi naomba mziweke hapa kwenye comment section.