Utapenda tena mama. Nakumbuka nilivyoachana na mwanaume wa kwanza kabisa kumpenda it took me two years kupenda tena. Huyu wa pili sasa sijui ntachukua muda gani kupenda tena japo najua nitapata mtu nimpende tena ila lini ndo mtihani.Wenye wapenzi hongereni mie niliye chitiwa sina hamu and I no longer believe in true love loh I know one day I will get someone who truly love me kwa moyo. Lord bring me someone special with true love and caring
Ukiwa unaendelea kusubiria wa kupenda enjoy the journeyWalah papuchi mi wamenitoka I feel nahtaji kupumzika kupenda
Akiwa na hizo elements basi hafai...Sio suala la upendo ni kwamba nimemuelewa tu. Sema huyu hafai hata kunioa hatataka niende hata dukani ataogopa nitaibwa.
Ndo maana na mie sitaki anifae kwa baadae nataka hapa hapa sasa hivi tuAkiwa na hizo elements basi hafai...
Mwifwa usishauri mapenzi bana mwache atumbukieKuruka ruka kule kuna madhara yake, kaa chini ujitafakari na kufanya maamuzi sahihi ambayo hutojutia baadae.
Angalia pia priority ulizompendea, zingine ni anasa tu.
Upendo upo moyoni na wala sio kwa vitu alivyonavyo mtu hasa vitu vinavyoweza kutoweka muda wowote.
Yani kupenda labda ichukue mda na akili itulie tulie bila hvo wana kuja ila ndo siwapendi yaniUtapenda tena mama. Nakumbuka nilivyoachana na mwanaume wa kwanza kabisa kumpenda it took me two years kupenda tena. Huyu wa pili sasa sijui ntachukua muda gani kupenda tena japo najua nitapata mtu nimpende tena ila lini ndo mtihani.
Kweli life is too shortUkiwa unaendelea kusubiria wa kupenda enjoy the journey
Mie hata sijielewiUtapenda tena mama. Nakumbuka nilivyoachana na mwanaume wa kwanza kabisa kumpenda it took me two years kupenda tena. Huyu wa pili sasa sijui ntachukua muda gani kupenda tena japo najua nitapata mtu nimpende tena ila lini ndo mtihani.
Usicheke halafuHhhhaaaa
SawaNdo maana na mie sitaki anifae kwa baadae nataka hapa hapa sasa hivi tu
Unataka nitumbukie halafu nilie baadae useme ulinambia nikajitia niko in love [emoji57][emoji57]Mwifwa usishauri mapenzi bana mwache atumbukie
Hiyo kawaida mama. Mi kweli sina ninaempenda kwa sasa hivi. Sina hata tone la mapenzi naishi tu mwenyewe basi namsubiria ntakaempenda. Na bahati mbaya zaidi huwa nikimuona mtu siku moja tu najua nimempenda au la.Yani kupenda labda ichukue mda na akili itulie tulie bila hvo wana kuja ila ndo siwapendi yani
Mi ndo sipendi wanaume naona wote wanafanana bora nitafte wakunitoa haja zake ila no upendo at all.Hiyo kawaida mama. Mi kweli sina ninaempenda kwa sasa hivi. Sina hata tone la mapenzi naishi tu mwenyewe basi namsubiria ntakaempenda. Na bahati mbaya zaidi huwa nikimuona mtu siku moja tu najua nimempenda au la.
Sometimes dick ndo huumiza ila mengineMie hata sijielewi
Sielewi kama niliye naye nampenda au nipo tu.
Kuna saa najihisi kumove on, but I love his dick[emoji12] [emoji12] .
Kuishi na mtu asiyekuamini ni mtihani sana.
Mnoooo. Mwenyewe ex wangu nilikua nampendea jinsi tunaconnect when we make love. Ndo mwanaume ambae nakua nae huru on bed. Ila alikua haniamini kabisa na ni kwa sababu ndugu zake na marafiki zake walikua wanamwambia haniwezi na yeye alikua anajua mwanzoni hawezi kuwa na mimi sababu hawez kujua kama naweza mpenda mtu kama yeye. Sema mie mwenzie ndo nilikolea yeye sasa anajua ntamuacha at any time t. Basi bwana aende tu salama ntapata mwingine ntampenda zaidi yakeMie hata sijielewi
Sielewi kama niliye naye nampenda au nipo tu.
Kuna saa najihisi kumove on, but I love his dick[emoji12] [emoji12] .
Kuishi na mtu asiyekuamini ni mtihani sana.
Hawafanani acha wogaMi ndo sipendi wanaume naona wote wanafanana bora nitafte wakunitoa haja zake ila no upendo at all.
Na mahusiano yakishakuwa na mashaka mengi huwa mwisho unakua karibu!Mnoooo. Mwenyewe ex wangu nilikua nampendea jinsi tunaconnect when we make love. Ndo mwanaume ambae nakua nae huru on bed. Ila alikua haniamini kabisa na ni kwa sababu ndugu zake na marafiki zake walikua wanamwambia haniwezi na yeye alikua anajua mwanzoni hawezi kuwa na mimi sababu hawez kujua kama naweza mpenda mtu kama yeye. Sema mie mwenzie ndo nilikolea yeye sasa anajua ntamuacha at any time t. Basi bwana aende tu salama ntapata mwingine ntampenda zaidi yake