Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Mwifwa rafik angu jiongeze apa
 
Ooh Mungu usinipe mapenzi maana wapendwao hakuna
 
My best Valentine's for the last three years ilikuwa na mdada niliekutana nae humu JF, kwenye thread kama hii. Kiutani tu nilisema im single for that day na yeye akasema yuko single tutumie hio siku pamoja. It was amazing, siku hio nilienda kumchukua kwao, maeneo yale mnaita ya ki-sure, Dar hii eneo hilo lipo top 3! Nimeibuka na ki-corolla geti kufunguliwa kumejaa ndinga za hatari hizo balaa! Mtoto wa watu wala hana makuu, kaingia hao tukaenda dinner. Aisee ilikuwa kama tumefahamiana miaka zaidi ya 20 iliopita kwasababu kumbe tulikaa mitaa fulani pamoja enzi hizo.
Huyu dada alinielewa sana sema ndio hivyo im sorry to admit niliharibu,na dada was too smart alikuwa anaweza kusoma mazingira. Allin all popote ulipo K you are amazing.
 
Nimekutana na mmasai wangu tumependana sana miaka inakatika milima na mabonde tunapanda na kushuka hadi kuporomoka. Tumewahi kutenganishwa na mito ya ghafla nyakati za mvua ila mahaba daima yalijenga daraja tukavuka, mapenzi ya dhati yalijaza nguvu mioyo yetu tukapanda milima na kushuka bondeni salama hata kwenye kuporomoka katika mabonde tulipata majeraha na maumivu lakini mahaba yetu yalifanya ahueni na tukashikana tena. Nampenda mmasai wangu nae ananipenda sana tunaelewana tunafahamiana tunajuana tumeshibana na kujazana mioyoni.

Wee mmasai wangu najua upo huku na utasoma maneno ya moyo wangu siijui ID yako ila waijua yangu.
Nakupenda mno nakupenda ulivyo kamili kila idara sijawahi kulalamika nje wala ndani. Nakupenda ulivyo smart kuanzia mavazi hadi kichwani. Siku nilipokutana na wewe dakika ile ile mioyo yetu iliangukia kwenye shimo lenye sufi ya huba. Ilikuwa ajabu kuwa wote tuliangukia humo hakika ilikuwa [emoji91][emoji91][emoji91].

Mioyo yetu haijawahi kuumia bila kuponyana. Nakupenda mmasai wewe najua nawe wanipenda mno nimeshawahi kukutest mara zaidi ya nyingi nimegundua unanipenda zaidi ya nilivyowahi kufikiria.

Every time I look at you I'm reminded of how I can never stop loving you.[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️
 
Rrrondo wewe mtaje nikuombee msamaha
 
Mbarikiwe sana
 
To my love Asprin, the man I have chosen to love [emoji173]️. Thank yuo for being part of my life.
I do promise to love you more tomorrow than yesterday
"From Now onward I'll go by the name paracetamol cause we ant-pain are blessed(refference aspirine) [emoji2] [emoji2] [emoji2] ,,
Utani tu nothing more
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…