Tupe ushuhuda wa mapenzi yako hapa

Mmmhhh.....ngoja nisubir nione kaa kuna mtu atatoa ushuhusa juu ya mapenzi yetu.....
 
Ningekuwa nakunywa leo ningekunywaaaa mpaka nilale bar

Ngoja nikagongee cha ukucha
Unaweza jikuta strong ila mapenzi yakakufanya kama mlenda

Mxiiiew
Mapenzi hayana ustrong wewe. Kanywe ulale
 
Sie wapenzi watazamaji tu, tunatazama tu mwaego kuna msururu unakutazama Hahaha Maana we sio kwanza humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe sitaki kuwa wa kwanza. Halafu unaemuhisi sie ujue. Mtu mwingine kabisa. Muache N baby wangu wa dhahabu. Huyu wa jana leo na kesho.
 
Mie hata sijielewi
Sielewi kama niliye naye nampenda au nipo tu.

Kuna saa najihisi kumove on, but I love his dick[emoji12] [emoji12] .
Kuishi na mtu asiyekuamini ni mtihani sana.
Yaani unashindwa kuaga kibamia kabisa? Si ujaribu zingine?
 
Pole sana wanaume pasua kichwa sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe sitaki kuwa wa kwanza. Halafu unaemuhisi sie ujue. Mtu mwingine kabisa. Muache N baby wangu wa dhahabu. Huyu wa jana leo na kesho.
We nae kwa kumtaja Huyo hata hahusiki Hapa wenzio tushagaywa kwanza unamvyotaja unaleta mengine
Huoni nimekuambia Utanitajia pm,
 
Utanitajia pm shogaa,, ila ushauri sikuoni upoje kwanza yaliyomo unaweza bahatisha mwaya
Tushabahatishana ivoo. Hata ikishindwa kufanya kazi trust me tutakua hivi hivi. Ndo maana nakwambia huyu wa jana leo na kesho. Sema sasa huyu sio N kabisa kabisa. Mimi na N ni zaidi ya hivi ndo maana hatuwezi kudate wala kuachana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ihihiii N huyu naemjua Mimi au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…