Tupe updates za athari za mvua hapo ulipo

Tupe updates za athari za mvua hapo ulipo

Hali ni shwari kabisa hapa mji kasoro, maana niliingia hapa usiku wa jana kumetulia mvua ilinyesha kidogo usiku, ila aa hii halj ya hewa ni shwari kabisa
 
Sasa mbona jamaa wanakunywa supu pale jangwani kama hakuna kitu kilichotokea?
IMG-20231112-WA0062.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisarawe-Pwani;

hali ni shwari isipokuwa gari za mkaa na mazao mengine zinashindwa kutoka shambani kutokana na mvua
 
Back
Top Bottom